Kamanda wa Hezbollah, Muhammad Naim auawa

Bams

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
19,362
Reaction score
48,879
Muhammad Kamel Naim, kamanda wa kikosi maalum cha Radwan cha jeshi la Hezibollah, kikosi maalum cha makombora ameuawa kwenye shambulio la Israel kusini mwa Lebanon.

Pia Israel imefanya shambulio jingine, kwa mara ya kwanza kaskazini mwa Lebanon na kuua watu 22. Haijajulikana bado kama hao 22 ni raia au wapiganaji wa Hezbollah.

Kuuawa kwa kamanda wa Hezbollah kunafuatia shambulio la drone la Hezbollah kwa Israel ambalo liliua askari wanne, kujeruhi vibaya 7 na kuwapa majeraha madogo askari wengine 61 wa Israel.

Red Cross nchini Lebanon, wamesema kuwa kwa sasa nchini Lebanon hakuna eneo lililo salama.
=======================

Israel kills commander of elite anti-tank missile unit​

Israel has killed the commander of the anti-tank missile unit of Hezbollah's elite Radwan Force, its military has said.
Muhammad Kamel Naim was killed in a strike in the Nabatieh area of south Lebanon, it added.

1h ago18:57

Number killed rises to 21 in Israel's first strike on northern Lebanon​

The number of people killed in an Israeli airstrike on an apartment building in northern Lebanon has risen to 21, according to the Lebanese Red Cross.
There was no immediate comment from the Israeli military and it was not clear what the target was.

Tuombe hekima ya Mungu iwaguse watu wote ili ugaidi ukome, vita vikome, umoja na upendo vitawale, ili watu waishi kwa amani, kama Kristo alivyosema, "Amani Iwe Kwenu"
 
4h ago 16:22

Ubarikiwe kwa taarifa! Tuzidi kuombea amani duniani!
 
Mkiwa waongo msiwe wasahaulifu watoto wa neta paka.

Juzi mlitujia na habari ya kuuliwa kwa huyu kamanda leo mnakuja na taarifa ileile ya juzi lakin cha ajabu mnabadilisha tukio haya mlisahau kama mlitangaza kifo chake kabla ya hizbollah kuishambulia kambi jana😂😂😂

Mkiishiwa mkubali na sio kujidhalilisha namna hii.
 
Muhammad Kamel Naim, kamanda wa kikosi maalum cha Radwan cha jeshi la Hezibollah, kikosi maalum cha makombora ameuawa kwenye shambulio la Israel kusini mwa Lebanon.

Pia Israel imefanya shambulio jingine, kwa mara ya kwanza kaskazini mwa Lebanon na kuua watu 22. Haijajulikana bado kama hao 22 ni raia au wapiganaji wa Hezbollah.

Kuuawa kwa kamanda wa Hezbollah kunafuatia shambulio la drone la Hezbollah kwa Israel ambalo liliua askari wanne, kujeruhi vibaya 7 na kuwapa majeraha madogo askari wengine 61 wa Israel.

Red Cross nchini Lebanon, wamesema kuwa kwa sasa nchini Lebanon hakuna eneo lililo salama.

4h ago 16:22

Israel kills commander of elite anti-tank missile unit​

Israel has killed the commander of the anti-tank missile unit of Hezbollah's elite Radwan Force, its military has said.
Muhammad Kamel Naim was killed in a strike in the Nabatieh area of south Lebanon, it added.

1h ago18:57

Number killed rises to 21 in Israel's first strike on northern Lebanon​

The number of people killed in an Israeli airstrike on an apartment building in northern Lebanon has risen to 21, according to the Lebanese Red Cross.
There was no immediate comment from the Israeli military and it was not clear what the target was.

Tuombe hekima ya Mungu iwaguse watu wote ili ugaidi ukome, vita vikome, umoja na upendo vitawale, ili watu waishi kwa amani, kama Kristo alivyosema, "Amani Iwe Kwenu"
Hawa watu si ndio walimuua Kristo? Sasa upendo upi wa Kristo unautaka kwa wayahudi hawa?
 
Ukraine hawakuua Kristo, wauaji wa Kristo ni wayahudi huu ni ukweli mchungu meza tu
Iliandikwa na lazima itimie......itakuaje ukweli mchungu kitu kilichotabiriwa miaka kadhaa nyuma,,,......haikua suprise, ilipangwa hivyo
 
Ole wake asababishae maandiko yanasema, kwahiyo utabiri hauna shida ila muuaji ni myahudi na atapata anacho stahili ila sio pongezi
 
Back
Top Bottom