Wako Waamerika, Waingereza, Waafrika, Waarabu n.k. waliokufa na kuendelea kufa wakipigania Russia au Ukraine. Vita si mchezo. Chechnya ni nchi rafiki na jirani wa Russia. Akifa mtu mmoja vtani kama huyo Mchechniya sio issue kubwa, hata kama unaunga mkono Ukraine!