Wasichokijua nikwamba ,kutokea tokea kwao kwenye jamii iliyokuwa inawaogopa inawafanya waonekane wa kawaida .
Mimi nawasihi waendelee kufanya hayo mazoezi kila siku ili waisaidie jamii kuondoa uwoga waliyonao juu yao .
Kwa mara ya kwanza tangu uwepo wa Taifa letu tujiandae kuona askari wakichezea makofi kutoka kwa raia hapo 29_10_2025 .
Taifa let linaviongozi wapuuzi sana .
Mbinu iliyotumika zaidi ya miaka 40 huko wanataka iendelee kuwatisha watu hadi leo , nonsense.
Wasichokijua nikwamba , askari wanaheshimika ,hawaogopwi so ogopa sana kwenye eneo ambalo heshima imeondoshwa ndiyo tutacheka kichina dadadeeki.