Nikajua huwa hawafi? Wakiwa madarakani hujufanya miungu wadogo!View attachment 2793949
Kwa mujibu wa taarifa ilitolewa na Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa, kada huyo wa Chama Tawala amefariki wakati akiwa Hospitali akiendelea na Matibabu
Nafasi ambazo amewahi kutumikia ni pamoja Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Kamanda wa Polisi mikoa mbalimbali ikiwemo Dodoma. Pia, amewahi kuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Arusha
Atangulie sisi tupo nyuma yakeM/kiti wa CCM Mkoa wa Arusha mzee Zelothe Stephen ameaga Dunia.
Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.M/kiti wa CCM Mkoa wa Arusha mzee Zelothe Stephen ameaga Dunia.