Elections 2010 Kamanda wa TAKUKURU ahamishwa baada ya kumkamata DC

Elections 2010 Kamanda wa TAKUKURU ahamishwa baada ya kumkamata DC

telele

Member
Joined
Jun 4, 2010
Posts
29
Reaction score
5
Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Kilimanjaro aliemkamata DC ahamishwa, ashushwa cheo.

Taarifa za uhakika zinasema kuwa kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Kilimanjaro ambaye maafisa wake walimkamata Mkuu wa Wilaya ya Kasulu kwa tuhuma za kugawa rushwa hapo juzi, hivi leo amekabidhi barua ya kuhamishwa kituo chake cha kazi na kupelekwa mkoa mwingine lakini akiwa si kamanda tena bali afisa tuu wa kawaida.

Hii inatosha kuashiria kwamba HOSEAH amebanwa na mkuu wa kaya kwamba kwanini anawazalilisha wateule wake wa kutoka chama tawala, HOSEAH kumbe hana ujanja, na huyo mama hata mchakato wa kumfikisha mahakamani umesimamishwa.
 
Nchi hii ina wateule! Rushwa tunazisikia Tabora, Same, Kyela. Igunga........... wala!!!!
Huu si wizi mtupu!!!!!
 
Kamanda wa TAKUKURU Mkoa wa Kilimanjaro aliemkamata DC ahamishwa, ashushwa cheo.

Taarifa za uhakika zinasema kuwa kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Kilimanjaro ambaye maafisa wake walimkamata Mkuu wa Wilaya ya Kasulu kwa tuhuma za kugawa rushwa hapo juzi, hivi leo amekabidhi barua ya kuhamishwa kituo chake cha kazi na kupelekwa mkoa mwingine lakini akiwa si kamanda tena bali afisa tuu wa kawaida.

Hii inatosha kuashiria kwamba HOSEAH amebanwa na mkuu wa kaya kwamba kwanini anawazalilisha wateule wake wa kutoka chama tawala, HOSEAH kumbe hana ujanja, na huyo mama hata mchakato wa kumfikisha mahakamani umesimamishwa.
.
Uzushi huu.
 
Ni vibaya tena haifai sasa Imani ya wananchi kwa viongozi wao itatoka wapi? ndo maana wantumia mlungula ili washinde!!
 
.
Uzushi huu.
Inaelekea wewe ni bingwa wa kukanusha habari za rushwa (kumbuka kule umekanusha ya Mwakalinga). Kule umeeleza 'ukweli', na hapa usiishie kusema huu ni uzushi, bali uweke huo 'ukweli'. Kama hauna data kama mimi, bora usikanushe, usome tu na kusubiri ukweli.
 
,,,Haya, huyo amehamishwa kwa 'kumdhalilisha' DC (kama ni kweli!), Huyu aliyemdhalilisha mama SiX naye atafanywaje??
 
Inaonyesha jinsi gani serikali ilivyosiriaz na "kupambana" na mlungula haswa ndani ya chama tawala..
 
Watahamishwa na kuteremshwa vyeo wengi mwaka huu. Sasa huyo alikuwa mkuu wa wilaya tu - dagaa - Na Sita aliye waziri je, nako Tabora TAKUKURU atademotiwa na kuhamishwa? Tunakwenda wapi? Bora Slaa achukue nchi hii, inaonyesha uozo ni system iliyoteuliwa hapa nchini na watu wachache waliokamata mpini wa nchi.

Well done TAKUKURU, songa mbele, tunataka hiyo iendelee sio kwa upinzani tu bali sheria ni upanga.
 
kwanini huu wimbo usingekuwa na REmix ikawa kampen ya chadema

NIKILALA NIKIAMKA OOH SABUNI HAZISHIKIKI
NIKILALA NIKIAMKA OOH MCHELE HAUSHIKIKI
NIKILALA NIKIAMKA OH DAWA HAZIPATIKANI
SABABUU YA MAFISADII
NIKILALA NIKIAMKA OOH ADA ZA SHULI HAZIPATIKANI
NIKILALA NIKIAMKA OOH NYANYA BEI JUU
NIKILALA NIKIAMKA OOH SUKARI HAZIONEKANI
SABABU YA CCM
CHAMA CHA MAFISADII EEY KIMELETA MATESO
KAMA WATAMABADILIKOO EEH MPE KURA SLAA WA CHADEMA
TUWANG'OE MAFISADI
 
Back
Top Bottom