Kadoda nguku
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 332
- 475
Vyombo vya Usalama vimchunguze huyu kiongozi, amekosa sifa za kuwa kiongozi wa taasisi kubwa hii iliyojijengea uaminifu mkubwa kwa jamii
Tukio la kwanza ni kupokea rushwa toka kwa wagombea wenye fedha wa ngazi ya Ubunge na Udiwani.
Vyombo vya kiuchunguzi mnaweza kwenda kata ya mkongo gulioni ambapo diwani wa kata hiyo alikuwa na kikao na mabalozi akawapa fedha, lakini wapenda maendeleo walimpigia simu kamanda wa takukuru na kumweleza lakini matokeo yake muda Huo huo wakiwa bado wapo kikaoni alipigiwa simu diwani aliyekuwa analalamikiwa akiambiwa awe makini kwamba wamepigiwa simu kwamba yupo kikaoni na mabalozi
Katika utawala huu bado watu wanendekeza tamaa ya fedha kuliko kazi, kujiamini huko kuna toka wapi.