Kamanda wa vifaru wa mazayuni ajiuzulu baada ya kuchezea Kichapo cha Hezbollah

FaizaFoxy

Platinum Member
Joined
Apr 13, 2011
Posts
100,246
Reaction score
123,145
Kamanda wa vikosi vya vifaru 8200 ambavyo kikawaida huwa mstari wa mbele kwenye mashambulizi, amelazimishwa kujiudhuru baada ya kutaka kunyayanyuwa bendera nyeupe ya kukiri kushindwa. Baada ya kikosi cha makomandoo kuchezea Kichapo cha Hezbollah, ambacho kikosi anachoongoza yeye ndicho kilitakiwa kuwahami.
Kwa ufupi, alishindwa kukihami kikosi hicho na makomandoo kibao wakauliwa. Na. Kujeruhuwa.

Na vifaru vyake vilipoanza kushmbuliwa akaamuru viondoke na kurudi nyuma, kuwaokowa vijana wake.

Hiki ndiyo kikosi kilichobamizwa sana vifaru vyake huko Ghaza. 👇🏾

View: https://youtu.be/edBqF6yTiAk?si=HD1kKXQENCQJkg1j
 
Iran inadai kuharibu idadi ya ndege za kivita za Israel za F-35 katika kituo cha anga cha Nevatim.

Mkuu wa majeshi ya Iran, Mohammad Bagheri, aliiambia Press TV kwamba kambi ya anga ya Nevatim, kituo cha kijeshi cha Netzarim na kitengo cha kijasusi cha Tel Nof, vilipigwa katika shambulio la Jumanne usiku lililopewa jina la 'Operation True Promise II'.

Katika taarifa ya mtandao wa airlive.net inasema, Makombora ya Walinzi wa Mapinduzi ya Iran yalilenga vyema vituo vitatu vya kijeshi vya Israel, kwa matumizi ya kwanza ya makombora ya 'hypersonic' ya Fatah.

Iran imelenga vituo vitatu vya anga vya Israel vikiwemo,

Nevatim Air Base, kituo cha kuhifadhi ndege za F-35 na kitovu kikuu cha kuagiza bidhaa za kijeshi.
Netzarim Air Base, ambapo ndege za F-15 zimewekwa pamoja na Tel Nof Air Base, iliyoko karibu na Tel Aviv.
Iran pia ilidai kugonga kituo cha anga cha Tel Nof kusini mwa Tel Aviv ambapo walisema "idadi kubwa ya vifaru vya Israeli" viliharibiwa.

Hata hivyo taarifa hizo zinakanushwa mtandaoni kuwa hakuna ushahidi wa makombora ya Iran kuharibu ndege hizo licha ya wanahabari wengi wa nje kuzuiwa kuingia maeneo ya Israel.

Taarifa zaidi;

Sasa ivi watu wataanza kujificha nyuma ya migongo ya wanawake na watoto
 
Kamanda wa vikosi vya vifaru 8200 ambavyo kikawaida huwa mstari wa mbele kwenye mashambulizi, amelazimishwa kujiudhuru baada ya kutaka kunyayanyuwa bendera nyeupe ya kukiri kushindwa. Baada ya kikosi cha makomandoo kuchezea Kichapo cha Hezbollah, ambacho kikosi anachoongoza yeye ndicho kilitakiwa kuwahami.
Kwa ufupi, alishindwa kukihami kikosi hicho na makomandoo kibao wakauliwa. Na. Kujeruhuwa.

Na vifaru vyake vilipoanza kushmbuliwa akaamuru viondoke na kurudi nyuma, kuwaokowa vijana wake.

Hiki ndiyo kikosi kilichobamizwa sana vifaru vyake huko Ghaza. 👇🏾

View: https://youtu.be/edBqF6yTiAk?si=HD1kKXQENCQJkg1j

Yapigwe Mazayuni
 
Uzuri wa Hezbollah ni Waislam, wanafata rules za "engagement".

Hata Iran juzi, wamelenga vituo vya kijeshi na usalama tu.

Siyo kama nguruwe wa kizayuni wanaouwa watoto na wanawake.
Sasa kama magaidi hayavai uniform yakaingia front yanajificha kwa wanawake na watoto na raia wengine kwa nn wasipigwe wote
 
Iran inadai kuharibu idadi ya ndege za kivita za Israel za F-35 katika kituo cha anga cha Nevatim.

Mkuu wa majeshi ya Iran, Mohammad Bagheri, aliiambia Press TV kwamba kambi ya anga ya Nevatim, kituo cha kijeshi cha Netzarim na kitengo cha kijasusi cha Tel Nof, vilipigwa katika shambulio la Jumanne usiku lililopewa jina la 'Operation True Promise II'.

Katika taarifa ya mtandao wa airlive.net inasema, Makombora ya Walinzi wa Mapinduzi ya Iran yalilenga vyema vituo vitatu vya kijeshi vya Israel, kwa matumizi ya kwanza ya makombora ya 'hypersonic' ya Fatah.

Iran imelenga vituo vitatu vya anga vya Israel vikiwemo,

Nevatim Air Base, kituo cha kuhifadhi ndege za F-35 na kitovu kikuu cha kuagiza bidhaa za kijeshi.
Netzarim Air Base, ambapo ndege za F-15 zimewekwa pamoja na Tel Nof Air Base, iliyoko karibu na Tel Aviv.
Iran pia ilidai kugonga kituo cha anga cha Tel Nof kusini mwa Tel Aviv ambapo walisema "idadi kubwa ya vifaru vya Israeli" viliharibiwa.

Hata hivyo taarifa hizo zinakanushwa mtandaoni kuwa hakuna ushahidi wa makombora ya Iran kuharibu ndege hizo licha ya wanahabari wengi wa nje kuzuiwa kuingia maeneo ya Israel.

Taarifa zaidi;

Viko wapi?
 
Mmekula tende za msaada ndo mnakuja kutusumbua jf.Bibi Faiza jiandae kisaikolojia kichapo anacho kwenda kupewa mvaa dela mwenzako Iran hatakaa arudie tena kumchokoza Israel.Chekeni kwa hizi siku tatu nne.Stone Age inarudi Iran maana kutakua na vifusi vya mawe sio nyumba.
 
Kamanda wa vikosi vya vifaru 8200 ambavyo kikawaida huwa mstari wa mbele kwenye mashambulizi, amelazimishwa kujiudhuru baada ya kutaka kunyayanyuwa bendera nyeupe ya kukiri kushindwa. Baada ya kikosi cha makomandoo kuchezea Kichapo cha Hezbollah, ambacho kikosi anachoongoza yeye ndicho kilitakiwa kuwahami.
Kwa ufupi, alishindwa kukihami kikosi hicho na makomandoo kibao wakauliwa. Na. Kujeruhuwa.

Na vifaru vyake vilipoanza kushmbuliwa akaamuru viondoke na kurudi nyuma, kuwaokowa vijana wake.

Hiki ndiyo kikosi kilichobamizwa sana vifaru vyake huko Ghaza. 👇🏾

View: https://youtu.be/edBqF6yTiAk?si=HD1kKXQENCQJkg1j

How old are you?
 
Back
Top Bottom