johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kamari au kubet kama mnavyoita ni aina Fulani ya Laana na kama unabisha nenda kasome Vitabu vitakatifu
Wanasiasa wa Tanzania hasa huku Tanganyika tuondoleeni haya makamari
Nakumbuka Shehe Mmoja aliwahi kupindua pindua meza za kuchezea " Korokoro" pale Mnazi Mmoja kidongo chekundu Wakati wa sikukuu ya Eid
Ahsanteni sana 🐼