johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tumia kiswahili Ili ueleweke🐼Kwani watu wakibeti wewe unapata madgra gani? Si uwaache na maisha yao?
Chanzo cha ongezeko la Kamari ni kufeli Kwa Serikali ya CCM kujenga ajira na mifumo wezeshi, CCM ilaumiweKamari au kubet kama mnavyoita ni aina Fulani ya Laana na kama unabisha nenda kasome Vitabu vitakatifu
Wanasiasa wa Tanzania hasa huku Tanganyika tuondoleeni haya makamari
Nakumbuka Shehe Mmoja aliwahi kupindua pindua meza za kuchezea " Korokoro" pale Mnazi Mmoja kidongo chekundu Wakati wa sikukuu ya Eid
Ahsanteni sana 🐼
Tulia wewe!!! Kamari huimarisha afya ya ubongo pia hurekebisha mapigo ya moyoKamari au kubet kama mnavyoita ni aina Fulani ya Laana na kama unabisha nenda kasome Vitabu vitakatifu
Wanasiasa wa Tanzania hasa huku Tanganyika tuondoleeni haya makamari
Nakumbuka Shehe Mmoja aliwahi kupindua pindua meza za kuchezea " Korokoro" pale Mnazi Mmoja kidongo chekundu Wakati wa sikukuu ya Eid
Ahsanteni sana 🐼
Ili iwejeKwani watu wakibeti wewe unapata madhara gani? Si uwaache na maisha yao?
Ndio kauli za wanasiasa hizi, ili mradi kina dhuru wengine kwake hakina shidaKwani watu wakibeti wewe unapata madhara gani? Si uwaache na maisha yao?
Nimeona watumishi wa umma wengi tu wanabeti 🐼Chanzo cha ongezeko la Kamari ni kufeli Kwa Serikali ya CCM kujenga ajira na mifumo wezeshi, CCM ilaumiwe
Nimeona watumishi wa umma wengi tu wanabeti 🐼