Kamari inadhoofisha Nguvukazi na kupunguza mzunguko wa Fedha kwenye Uchumi

Kamari inadhoofisha Nguvukazi na kupunguza mzunguko wa Fedha kwenye Uchumi

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Nilitegemea mikutano mitatu ya kwanza ya CHADEMA hali ya Uchumi ndio ingekuwa Hoja kuu. Cha ajabu hoja kuu imekuwa Maridhiano ya CCM na CHADEMA ambayo hayawahusu Watanzania wote.

Unapopata fursa ya kuongea na Wananchi zungumzia mambo ya Taifa siyo ya chama chako. Nampongeza Komredi Chongolo kwa kuzungumzia ulegevu wa Watendaji wa Serikali wakiwemo Mawaziri.

CCM inalinda Dola, amesisitiza Chongolo. Kwahiyo CHADEMA wanaotafuta Dola walipaswa kwenda mbali zaidi kwa kudadavua hali ya Uchumi na ugumu wa maisha.

Mungu awabariki sana!
 
Wewe jamaa hueleweki upo Chadema , CCM au we ni mzalendo tuu
 
Back
Top Bottom