Kamari kila kona ya nchi, Wachina wanapata wapi vibali?

Nairobian

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
873
Reaction score
2,281
Hili ni tatizo linalomea matawi, na linatapakaa kila kona ya nchi. Janga la Kamari (Betting). Kila kona ya jiji la Dar-es-Salaam, Mwanza na Arusha, Mashine za kamari zimewekwa.

Majuzi kati nilikuwa Shinyanga vijijini, watoto waodogo umri wa shule wamejazana ndani ya kachumba kadogo wanacheza kamari badala ya kwenda shule.

Wawekezaji wa Kichina kabla ya saa sita mchana wanafika na kufungua mashine na kujibebea kitita cha fedha bila kujali ni fedha zilizotokana na nini. Hawa Wachina wapataje vibali kuweka hizi mashine za Kamari?

Haya madude yamesambazwa nchi ázima. Vijana wanaangamia kwani wanashinda siku zima wanacheza kamari.

Hebu tujadili hili suala kama taifa!
 
Acha watu wacheze kamari, mbona mnapenda sana kupangia watu maisha?
 
Hili ni tatizo linalomea matawi, na linatapakaa kila kona ya nchi. Janga la Kamari (Betting). Kila kona ya jiji la Dar-es-Salaam, Mwanza na Arusha, Mashine za kamari zimewekwa.

Majuzi kati nilikuwa Shinyanga vijijini, watoto waodogo umri wa shule wamejazana ndani ya kachumba kadogo wanacheza kamari badala ya kwenda shule.

Wawekezaji wa Kichina kabla ya saa sita mchana wanafika na kufungua mashine na kujibebea kitita cha fedha bila kujali ni fedha zilizotokana na nini. Hawa Wachina wapataje vibali kuweka hizi mashine za Kamari?

Haya madude yamesambazwa nchi ázima. Vijana wanaangamia kwani wanashinda siku zima wanacheza kamari.

Hebu tujadili hili suala kama taifa!
sasa wachina wamekosa nini kama yameingia kihalali na wanalipa kodi
 
kama hufuatilii mtoto wako kama anaenda shule,hilo sio kosa la wachina
 
Ulishawahi kujiuliza hao wanaoshinda wakicheza kamali hizo Hela za kucheza kamali wanapata wapi
 
Hao ndio investors mnaoambiwa kila kukicha. Hayo ni matokeo ya kuwa na viongozi vipofu,ingawa wana macho.
 
Tafuta ofisi ya serikali ukawaulize kama ni usiku na zimefungwa wahi kituo cha Polisi karibu nawe.
 
Hili ni tatizo linalomea matawi, na linatapakaa kila kona ya nchi. Janga la Kamari (Betting). Kila kona ya jiji la Dar-es-Salaam, Mwanza na Arusha, Mashine za kamari zimewekwa.

Majuzi kati nilikuwa Shinyanga vijijini, watoto waodogo umri wa shule wamejazana ndani ya kachumba kadogo wanacheza kamari badala ya kwenda shule.

Wawekezaji wa Kichina kabla ya saa sita mchana wanafika na kufungua mashine na kujibebea kitita cha fedha bila kujali ni fedha zilizotokana na nini. Hawa Wachina wapataje vibali kuweka hizi mashine za Kamari?

Haya madude yamesambazwa nchi ázima. Vijana wanaangamia kwani wanashinda siku zima wanacheza kamari.

Hebu tujadili hili suala kama taifa!
RUKSA kucheza na Wewe kacheze
 
Nyie endeleeni kucheza Kamari ila msisahau huku kuna wahuni wanapiga pesa tena bila uoga mkija kushituka mshaibiwa saaaaaana,
 
Back
Top Bottom