Daniel Mbega JF-Expert Member Joined Mar 20, 2013 Posts 338 Reaction score 180 Apr 10, 2016 #1 SERA ya Ujamaa na Kujitegemea iliyoasisiwa na hayati Mwalimu Julius Nyerere mwaka 1967 ililenga kuthamini utu, kuleta umoja na mshikamano Tanzania. Leo hii ukizungumzia sera hii ya Ujamaa watu watashangaa na kuona umepitwa na wakati. Japokuwa Katiba yetu (ya mwaka 1977) inaeleza Tanzania ni nchi ya Kijamaa na misingi ya Ujamaa inaainishwa vizuri, lakini sivyo ilivyo kiuhalisia kwani, Tanzania ... Kwa habari zaidi, soma hapa => Kamari za mpira, unyonyaji mpya uangamizao vijana | Fikra Pevu
SERA ya Ujamaa na Kujitegemea iliyoasisiwa na hayati Mwalimu Julius Nyerere mwaka 1967 ililenga kuthamini utu, kuleta umoja na mshikamano Tanzania. Leo hii ukizungumzia sera hii ya Ujamaa watu watashangaa na kuona umepitwa na wakati. Japokuwa Katiba yetu (ya mwaka 1977) inaeleza Tanzania ni nchi ya Kijamaa na misingi ya Ujamaa inaainishwa vizuri, lakini sivyo ilivyo kiuhalisia kwani, Tanzania ... Kwa habari zaidi, soma hapa => Kamari za mpira, unyonyaji mpya uangamizao vijana | Fikra Pevu
Public Enemy JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 3,029 Reaction score 3,520 Apr 10, 2016 #2 Sisomi.
moodykabwe JF-Expert Member Joined Aug 16, 2015 Posts 625 Reaction score 602 Apr 10, 2016 #3 NI kweli vijana wengi sasa wamejingiza katika huu mchezo na kuwaza mambo mengine yasio kuwa na taji katika taifa mda mwingi wanawaza kubeti tu
NI kweli vijana wengi sasa wamejingiza katika huu mchezo na kuwaza mambo mengine yasio kuwa na taji katika taifa mda mwingi wanawaza kubeti tu
wamisako JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 917 Reaction score 871 Apr 10, 2016 #4 Kama nmekula millio 28 kwa dau la elfu 100 nitaachaje kubet sasa