Kamaru Usman amtwanga Jorge Masdival

Kamaru Usman amtwanga Jorge Masdival

MIGUGO

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
2,137
Reaction score
3,931
Usman ameweza kutetea taji lake la welterweight kwa mara ya pili ambapo hapo awali mwezi July 2020 alimtwanga Masdival kwa points.

Masdival amesema inamuuma kuchapwa kipigo cha KO mpaka kupoteza fahamu mbele ya familia yake na marafiki.

Mechi hiyo ilipigwa usiku wa jumamosi 24 April

Aisee naukubali sana mchezo wa MMA.Wanaijeria wamewekeza huko kina Israel Adesanya na wengine.
View attachment 1763749
 
Usman ameweza kutetea taji lake la welterweight kwa mara ya pili ambapo hapo awali mwezi July 2020 alimtwanga Masdival kwa points.

Masdival amesema inamuuma kuchapwa kipigo cha KO mpaka kupoteza fahamu mbele ya familia yake na marafiki.

Mechi hiyo ilipigwa usiku wa jumamosi 24 April

Aisee naukubali sana mchezo wa UFC.Wanaijeria wamewekeza huko kina Israel Adesanya na wengine.
View attachment 1763749
Naija Nightmare Once's again [emoji1184]. Now they'll call him snoozeman because he puts people to sleep [emoji23][emoji23]
 
I was rooting for Masvidal I guess that's he gets for hanging out with Jake Paul... Lol
 
Kipindi Scopion yupo jela angepiga matizi hukohuko jela wakampeleka,yeye si master wa kupiga ngumi jiwe.
 
Mixed Martial Arts
We unaonekana bado mbweha ktk MMA.

Hakunaga Mchezo Wa UFC

2nd......kwakua Kamaru na Adesanya wana asili ya Nigeria haimaanishi kua Nigeria imewekeza. Fanya research. Huyo Adesanya kaondoka Nigeria ana 2yrs wakazamia Australia so does huyo Kamaru.

Ni sawa na Kusema Cameroon imewekeza kwenye MMA kisa Ngannou ni Heavyweight Champ. Kumbe jamaa limeibuliwa na wale jamaa wa MMA Factory-Paris.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Ndugu yangu Mimi mbweha tena?Anyway ulipaswa kunielekeza si majina hayo.
Sportsmanship inasupport fairness hujawa fair.

Kuna "moderate" hapo nikarekebisha.
 
Back
Top Bottom