Naija Nightmare Once's again [emoji1184]. Now they'll call him snoozeman because he puts people to sleep [emoji23][emoji23]Usman ameweza kutetea taji lake la welterweight kwa mara ya pili ambapo hapo awali mwezi July 2020 alimtwanga Masdival kwa points.
Masdival amesema inamuuma kuchapwa kipigo cha KO mpaka kupoteza fahamu mbele ya familia yake na marafiki.
Mechi hiyo ilipigwa usiku wa jumamosi 24 April
Aisee naukubali sana mchezo wa UFC.Wanaijeria wamewekeza huko kina Israel Adesanya na wengine.
View attachment 1763749
We unaonekana bado mbweha ktk MMA.Mixed Martial Arts
Ndugu yangu Mimi mbweha tena?Anyway ulipaswa kunielekeza si majina hayo.We unaonekana bado mbweha ktk MMA.
Hakunaga Mchezo Wa UFC
2nd......kwakua Kamaru na Adesanya wana asili ya Nigeria haimaanishi kua Nigeria imewekeza. Fanya research. Huyo Adesanya kaondoka Nigeria ana 2yrs wakazamia Australia so does huyo Kamaru.
Ni sawa na Kusema Cameroon imewekeza kwenye MMA kisa Ngannou ni Heavyweight Champ. Kumbe jamaa limeibuliwa na wale jamaa wa MMA Factory-Paris.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Mixed Martial Arts
Noted.Ndugu yangu Mimi mbweha tena?Anyway ulipaswa kunielekeza si majina hayo.
Sportsmanship inasupport fairness hujawa fair.
Kuna "moderate" hapo nikarekebisha.