Kamata fursa Tanzania

bereng

Senior Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
114
Reaction score
21
Fursa ya biashara inagonga hodi nchini Tanzania. Ni kampuni ya kimataifa inayoaminika, inatoa fursa kwa vijana makini wa Kitanzania wanaotaka kujiajiri na kutengeneza kipato kikubwa. Haijalishi ndoto yako ilivyo, kampuni itakuwezesha kuzifikia.
Kama unapenda kujua kampuni na biashara kwa ujumla, nitumie PM ili nikutumie website na maelekezo.

Kama uko Dar, yawezekana umesikia au hujasikia matangazo kwenye media kuhusu semina na sherehe za uzinduzi wa kampuni. Nitumie PM nikujulishe mahali na siku ili uhudhurie! hii ni habari njema kama unataka kubadilisha maisha yako.
 
mkuu mimi nina wazo kama ukiona linamantiki naomba ufanye na kama ukiona halisadifu kwenye fikra zako basi tena"ujue sisi kama vijana wa kitanzania tunatakiwa si na mtu bali hali halisi tuwe na moyo wa kuelekezana pale inapotokea fursa,nawe kama ulivyo sema ni vyema ukatoa japo dondoo kisha atakae vutiwa ndiye afanye pm kwako.
 
kama iyo fursa ilishatangazwa ktk vyombo vya habari kuna shida gani ukaweka hiyo web link hapa ebo!!
 
Hivi forever living bado ni kampuni mpya? Kila mwaka yenyewe ni kampuni mpya kama wema sepetu na miaka 23?
 
Kama umeamua kutujuza kweli, mwaga mambo hadharani PM ya nini sasa
 
PM ya nn kama unataka kusaidia watu ya nn kufichaficha. labda useme we ni tapeli.
 
PM ya nini kama ni fursa na siyo utapeli?achana na habari za PM,weka mambo hadhalani!!
 
kuna mdau alishawahi kusema sometime pm means public message ss embu weka kila kitu hadharan maana huko kwingin kunatilia mashaka usije ukamnyonga mtu huko mafichoni kimya kimya
 
huwa nakwazika sana matapeli wanavoambia watu kwenda pm ili wawalize vzur, kama ni fursa kuna haja gan ya kufichana, kama ulitaka iwe siri usingepost uzi kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…