Kamata fursa twende zetu inanini huko ndani?

hyo anayewasifia clouds kwa hizo semina mikoan hana akili mi binafsi cwez kukaa nikamsikiliza rugey coz najua hana chochote cha kuni inpire sabab mafanikio yke ya kiuchumi hajayapata kwa njia ambazo c halali ....rugey anatumia hizi semina kujisafisha kwa madudu aliyowafanyia sugu na jide ili watu wamuone ye mtu positive na ana moyo wa kusaidia wengine anahamasisha watu kutumia fursa halali wakat ye anatumia fursa za wizi shame on him
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…