Kamata Kamata ya rushwa ndani ya CCM ni mtego kwa wapinzani ili muda wa kampeni utakapofika waanze kuwakamata wapinzani kwa nadai hayohayo ya rushwa.
Hii ya sasa inayofanyika ni ku justify pale watakapoanza kuwashughulikia wapinzani kwa kisingizio kuwa sheria ni maneno.
Watawakamata wapinzani hasa ktk majimbo Yale yenye upinzani imara na kuwaondoa ktk mstari huku wakisema kuwa sio wapinzani tu wanaokamatwa kwani hata ccm wanaokamatwa.
Kwa taarifa hii nawatahadharisha viongozi na watia Nia wa upinzani kujiandaa mapema kwa Hali hiyo inayokuja mbele yao, wasije sema hawakuonywa