Upinzani wanapima sifa za mgombea rushwa haina nafasi.Rushwa ilizaliwa ndani ya ccm na imekulia humo na itazeekea humo humo...
Sasa unataka Wapinzani wakifanya rushwa wasikamatwe????Kamata Kamata ya rushwa ndani ya ccm ni mtego kwa wapinzani ili muda wa kampeni utakapofika waanze kuwakamata wapinzani kwa nadai hayohayo ya rushwa. Hii ya sasa inayofanyika ni ku justify pale watakapoanza kuwashughulikia wapinzani kwa kisingizio kuwa sheria ni maneno.
Watawakamata wapinzani hasa ktk majimbo Yale yenye upinzani imara na kuwaondoa ktk mstari huku wakisema kuwa sio wapinzani tu wanaokamatwa kwani hata ccm wanaokamatwa. Kwa taarifa hii nawatahadharisha viongozi na watia Nia wa upinzani kujiandaa mapema kwa Hali hiyo inayokuja mbele yao, wasije sema hawakuonywa
Jiwe arudishe mabilioni aliyotuibia pamoja na 1.5 trillion
TUNAJUA HAO CCM NA SERIKALI YAKE INAYOYAPANGA, LEO LAKE NI KUKAMATA WAPINZANI NA KUWABANDIKA KESI ZISIZO NA KICHWA WALA MIGUU.Kamata Kamata ya rushwa ndani ya ccm ni mtego kwa wapinzani ili muda wa kampeni utakapofika waanze kuwakamata wapinzani kwa nadai hayohayo ya rushwa. Hii ya sasa inayofanyika ni ku justify pale watakapoanza kuwashughulikia wapinzani kwa kisingizio kuwa sheria ni maneno.