MAPITO Mwanza
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 4,236
- 5,907
Tetesi zinasema kuna zoezi la kukamata wavuvi haram huko wilayani SENGEREMA mkoa wa Mwanza ndugu yangu alieko huko katika kijiji cha nyakahako anasema zoezi linaendesha kionevu sana kwani inasemekana wanajeshi wanatembea na majina ya wale wsnaodaiwa ni wavuvi haramu Shida nipale wanapomkuta mhusika hayupo wanapiga hata mkewake Nb ni tetesi Kama kuna Mwana jukwaa yupo kule atuletee ukweli hapa