Kamati kuu CHADEMA, haijajadili Ubunge wa Aida Khenan

Mke wa Makamu Mwenyekiti Salum Mwalimu, Mke wa Naibu Katibu Bensom Kigaila, Mke wa Kada Maarufu aliekuwa anazunguka na Lissu Binamu bananga ane kala viti Maalum, Nusrat Hanje nae kapiganiwa

Mchezo wa viti maalum ilikuwa mchezo wa kupigana timing, safari hii Wanawake wa Kichaga kina Lucy Kihwelu wamepigwa Mtama
 
Sikikiza tamko la Chadema la kutokutambua matokeo na kuitisha maandamano yasjyo na kikomo nchi nzima.
Huyo amechaguliwa na wananchi, ila wao wamesingizia mamlaka ya Chadema imepitisha majina yao, hiyo ikapelekea kamati kukaa kwa haraka kuliweka sawa jambo hilo mana lilianza kuwachanganya wanachama wote wa CDM. Swala la mbunge wa Nkasi halina haraka sana lakini pia litashughulikiwa
 
Mr Hai: "Nafasi ya Bi Aidan na wabunge wa viti maalum lazima tuzichukue zote; lakini pia lazima kwa nje, mbele ya wanachama wetu, tuzuge tumechukizwa sana na uamuzi wa hawa 19 kula kiapo!"

"Akili za kuambiwa changanya na zako."
 
Punguza chumvi, lini chadema wamefanya kikao ofisini kwao zaidi ya mahotelini
 
Umepaniki, kunywa maji baridi kwa wingi, ni dawa!
 
Maigizo tu hayo. Hapo viongozi wamewahiwa kupeleka majina ya watu wao.

Hakika, ngoma inaenda mahakamani na kesi itakuja kuisha 2024/ 2025 mchezo umeisha. Hauwrzi kusema mbona kesi imechukua muda mrefu wakati za akina TUNDU zinaenda mwaka wa 6 na hakuna mwendelezo. Ndio maisha hayo
 
Tatizo ni pale mnapolia kuliko wafiwa!
 
Kwahiyo ugomvi ni nani achukue viti, sio uhalali wa viti...
 
Pale mataga yanapofarijiana
 
Huyo sio tatizo, baada ya kumaliza furaha ya kuzawadiwa ubunge, kwa kauli zake anaonyesha kuwa karibu (mwenyewe) ataunga mkono juhudi. Na tunamtakia kila la heri.
 
Kesi ya Aida Khenan iko tofauti sana na hawa 19...

Nina hakika hata huyo naye hatua zitachukuliwa...

Hawa wanawake walichofanya ni "sabotage" kwa chama...

Hawa wameingizwa na baadhi ya watu ktk dola (system) kwa kushirikiana (pengine) na viongozi wachache ndani ya chama kutenda makosa mbalimbali ya kijinai ikiwemo kosa la kughushi ili mradi wawe wabunge...

Hii ni mbaya sana..

Aida Khenan yupo kwa mchakato halali ndani ya chama. Alipata approval ya chama na amekuwa mbunge. Bahati mbaya tu ni kuwa mchakato wa uchaguzi uliharibiwa na hapo ndipo lilipo tatizo...

Huyu watashughulika naye kwa mashauriano na kuelimishana na kufikia mwafaka. Kama anakipenda na kukithamini chama kilichompa platform, ataelewa na kuweka maslahi ya chama na wanachama mbele kuliko maslahi yake binafsi...
 
Sasa hawa wanaosemwa kuwa wamefanya jinai, ni kwanini wanaambiwa wakaombe msamaha kwenye chama? Jinai inaweza kutolewa msamaha na chama?
 
Sasa hawa wanaosemwa kuwa wamefanya jinai, ni kwanini wanaambiwa wakaombe msamaha kwenye chama? Jinai inaweza kutolewa msamaha na chama?
Absolutely, YES...

Ukiniibia hela yangu na kabla sijachukua hatua za kisheria (kukupeleka kwa Court of law) ukakimbia kuja kukubali na kukiri kosa lako kwangu, ukaomba msamaha na kisha kurejesha ulichoiba, basi kila kitu kitaishia pale...!

Kumbuka ukweli huu, UKIRI na KUKUBALI KOSA na kufuatiwa na UTUBU au KUOMBA MSAMAHA ni dawa yenye nguvu ya ajabu sana katika nafsi na roho ya mwanadamu...

Migogoro yote unayoiona na kuzaa maumivu na hasara kwa watu wengi, ni kwa sababu ya EGO & ARROGANCE characters za watu..

Hawataki na hawako tayari kukubali na kukiri/tubu dhambi/makosa yao na kudhamiria kuyaacha..

Kwa sababu ya ujinga huu, Mungu muumba wetu anatuacha tujiamgamize wenyewe...!!
 
Kinachoshangaza ni pale mnaotoa utopolo wa aina hii ni wanachama wa chama cha mauaji pekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…