Kamati kuu CHADEMA, haijajadili Ubunge wa Aida Khenan

Tundu linalotoa kinyesi ndicho ulichoandika
 
Tundu linalotoa kinyesi ndicho ulichoandika
 
Umeishaaanza kunena kwa 'lugha' wakati suala na tatizo vyote havikuhusu, vyamhusu jirani.
 
Cha msingi kina Halima sio wanachama wa CHADEMA tena. Wewe andika kurasa nyingi kama za ilani ya CCM ila hazisaidii kitu. CCM toka lini mkawapenda kina halima? Inafikirisha kwa kweli

Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
 
Hizi likes zimetoka kwa mapopoma wenzio! Kwani lengo la huo mkutano ulikuwa ni kuwajadili kina mdee au huyo mbunge? Nikikuita wewe ni takataka, punguani tena mpumbavu nitakuwa nimekosea? Suala la Aida bado halijajadiliwa kwa taarifa yako! MATAGA akili zenu zinakaa kwenye vinena au?

Sent from my SM-A705FN using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ila wewe mwanamke wewe Yani Hadi likes za wanaume unazionea wivu..
Punguza gubu siyo nzuri.
 
Acha uchonganishi, ulitaka wamjadili ili iweje? Mtu amechaguliwa kihalali, ulitaka wamvue uanachama?
 
Kwa hiyo hao 19 wakiomba msamaha ndiyo wanaendelea na ubunge au wanaomba msamaha na kujitoa ubunge?
Msamaha umekaa kisiasa;
1. Wamesema wamefanya jinai. Tangu lini jinai ikaombwa msamaha kwenye chama.
2. Wamesema wanapinga utaratibu wa kuwaapisha nje ya jengo la Bunge. Iwapo hawavitaki viti, kuna haja gani kupinga utaratibu uliotumika kuwaapisha?
3. Wamesema "wameazimia" kuwavua uanachama. Wamewavua uongozi lakini uanachama wameazimia kuwavua.
 
Kama mwawapenda sana wachukueni, halafu kwa mbinu za ki Ndugai/Mwambe, muwape tena ubunge. Kelele zenu sasa basi.
 
Kwa hiyo wangeapishwa ndani ya bunge kusingekuwa na pingamizi?
 
Aida alishinda kihalali, kwenye uchaguzi halali, kwa hiyo hawezi kujadiliwa πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
According to statement ya Mbowe, YES. Maana alichopinga ni kuapishwa kwenye "garage".
Inawezekan akapinga kuapishwa kwenye garage na kuongelea hilo kwa sababu ndilo lililotokea, na hata wangeapishwa bungeni angepinga pia

Kupinga kuapishwa garage hakumaanishi kukubali kuapishwa bungeni.
 
Inawezekan akapinga kuapishwa kwenye garage na kuongelea hilo kwa sababu ndilo lililotokea, na hata wangeapishwa bungeni angepinga pia

Kupinga kuapishwa garage hakumaanishi kukubali kuapishwa bungeni.
Very possible. However, kwenye communication strategy inatoa ujumbe tofauti. Kama hawazitambui nafasi, swala la walipoapishiwa halikutakiwa kuwaingiza gharama Chadema. They are going to pay lawyers to pursue a legal fight about it.
 
Aida alishinda kihalali, kwenye uchaguzi halali, kwa hiyo hawezi kujadiliwa πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
Sawasawa. Ndio msingi wa Ubunge wake kutokuhojiwa na Kamati Kuu ya Chadema...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…