Kamati Kuu CHADEMA imemteua Boniface Jacob kugombea Uenyekiti Kanda ya Pwani

Quinine

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
22,227
Reaction score
49,628
TAARIFA KWA UMMA

Kamati Kuu ya Chama iliyoketi kwenye kikao chake cha kawaida tarehe 17-18 Septemba, 2024 Jijini Dar Es salaam pamoja na ajenda nyingine imefanya uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali katika Kanda za Pemba, Kusini na Pwani.

Soma Pia:

Screenshot_2024-09-18-19-32-41-1.png

Screenshot_2024-09-18-19-33-29-1.png

1726680965641.png
 
Attachments

  • 1726681067876.png
    1726681067876.png
    53.2 KB · Views: 7
Hii ndio Taarifa iliyosambazwa na Chadema kote Duniani iliyotufikia jioni hii, inaeleza kwamba, Miongoni mwa Walioteuliwa yumo Mtuhumiwa Boniface Jackob, aliyetajwa kuwania Uenyekiti wa Kanda ya Pwani.

Screenshot_2024-09-18-19-32-41-1.png
Screenshot_2024-09-18-19-33-29-1.png
Screenshot_2024-09-18-19-33-10-1.png
 
Watu hawana habari na porojo za CHADEMA. Kwa sasa watanzania wapo Bize na Rais Samia na CCM tu. Rais na chama ambacho kimebeba matumaini yao na kuwa na uchungu na maisha yao.
 
Wewe ni mchokozi sana.
Nchi ni ya wote.

Ingawaje, kwa yanayoendelea mi nashukuru tu kwasababu walimsema sana JPM. Walimuita majina yote mabaya.

Cha ajabu bichura kiziwi wanasema eti aliyemwandikia speech atumbuliwe, hawaamini kama hizo ndio rangi zake halisi!😄
 
Shetani hajawahi kumshinda Mungu
 
Wewe ni mchokozi sana.
Nchi ni ya wote.

Ingawaje, kwa yanayoendelea mi nashukuru tu kwasababu walimsema sana JPM. Walimuita majina yote mabaya.

Cha ajabu bichura kiziwi wanasema eti aliyemwandikia speech atumbuliwe, hawaamini kama hizo ndio rangi zake halisi!😄
Lakini kweli Nchi hii ni ya sisi sote bila kujali itikadi za kisiasa, kidini , kabila wala Rangi. Huu ujimilikishaji wa Nchi yetu kwa Kikundi cha baadhi ya watu tu umeanza lini? Repeat this beautiful country called Tanzania is for us all. Ni ya watu wote takribani 65 milioni . Tutailinda na kuipigania isije kuporwa !
 
Mjela jela naye mgombea chadema ni kikundi cha waharifu tu ,mtu anamtukana Mh Rais leo anateuliwa

USSR
 
Lakini kweli Nchi hii ni ya sisi sote bila kujali itikadi za kisiasa, kidini , kabila wala Rangi. Huu ujimilikishaji wa Nchi yetu kwa Kikundi cha baadhi ya watu tu umeanza lini? Repeat this beautiful country called Tanzania is for us all. Ni ya watu wote takribani 65 milioni . Tutailinda na kuipigania isije kuporwa !
Anza na laiyejimilikisha Chadema

USSR
 
Back
Top Bottom