hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 13,628
- 20,992
Kama hizi nafasi zingeruhusu na wanaume basi huenda Mbowe, Msigwa, Heche, Sugu wangetimba bungeni
Kwasasa wanachopambania ni Wote wakose
Mtu Kama Msigwa, Sugu, Lema na Heche kama wangeambiwa wavae sketi wajipeleke bungeni kwa nafasi hizo 19, wasingekataa
Hizi sarakasi zote ni kutaka WOTE WAKOSE
Kilichotokea kina Halima Mdee waliwazidi ujanja
Miaka yote mnagomeaga matokeo ila kwakuwa huwa mnaachiwa majimbo kwa huruma ,mnatimba bungeni, wenzenu wanaokosa wanabaki kimya
2020 JPM aliwakomesha ,mnataka kina Mdee wakose, hiyo haikubaliki, kwani mwaka gani mliwahi kukubaliana na matokeo.
Kwasasa mnajipeleka Ikulu mkitaka mama aingilie Mahakama wakina Mdee wapigwe chini mfurahi
Mmewasahau CCM, muulizeni Mbatia na Lipumba