Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 17,434
- 27,177
Hawajaomba kibali kwahiyo ni batili kukutana.Kamati Kuu ya Chadema itakutana wa dharura kesho Alhamisi Novemba 7, 2019 kutoa msimamo kuhusu mchakato wa uchaguzi wa Serikali za mitaa.
Kamati haramu hiyo iko kinyume Cha katiba ya chadema muda wao ulishaisha September .Nani aliye extend muda wao wakati muda wao kikatiba wa miaka mitano uliisha September 2019.Sasa hivi hamna Kamati kuu.Waandishi wa habari mkienda muwahoji wao ni Kamati kuu ya wapi wakati muda wao wa kikatiba ulisha Isha? Muhojini Hadi Mbowe kuwa je wewe ni mwenyekiti wa Chadema kwa Sasa wakati uongozi wako uliisha September?Kamati Kuu ya Chadema itakutana wa dharura kesho Alhamisi Novemba 7, 2019 kutoa msimamo kuhusu mchakato wa uchaguzi wa Serikali za mitaa.
Wanawapa airtime pieere liquid, amber ruty sasa mmeteka CHANNEL 10, TBC hata hawa wengine hamuwataki?Kamati haramu hiyo iko kinyume Cha katiba muda wao ulishaisha September .Nani aliye extend muda wao wakati muda wao kikatiba wa miaka mitano uliisha September 2019.Sasa hivi hamna Kamati kuu.Waandishi wa habari mkienda muwahoji wao ni Kamati kuu ya wapi wakati muda wao wa kikatiba ulisha Isha? Muhojini Hadi Mbowe kuwa je wewe ni mwenyekiti wa Chadema kwa Sasa wakati uongozi wako uliisha September?
Waandishi wa habari Tanzania kuweni serious ulizeni kwanza aliyeitisha kikao Nani wakati uongozi wa Chadema muda wake uliisha September 2019.Msikubali.kuanza press bila Hilo swala kujibiwa.
Polisi Uongozi wa Chadema muda wao uliisha September 2019.Ikiwemo Kamati kuu .Hiyo press conference ni haramu .Uongozi ukioitisha hiyo press conference sio wa Chadema kisheriaPOLISI ni wachache wanasimamia mitihani kidato cha nne kwahiyo wasubiri kwanza.
Polisi ndio Msajili wa Vyama, Wewe PIERE LIQID UMEKUNWA CHANGAA NINI?Polisi Uongozi wa Chadema muda wao uliisha September 2019.Ikiwemo Kamati kuu .Hiyo press conference ni haramu .Uongozi ukioitisha hiyo press conference sio wa Chadema kisheria
Kamati Kuu ya Chadema itakutana wa dharura kesho Alhamisi Novemba 7, 2019 kutoa msimamo kuhusu mchakato wa uchaguzi wa Serikali za mitaa.
============
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA.
Taarifa inatolewa kwa vyombo vya habari na umma wa Watanzania kuwa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) itakutana katika kikao maalum cha dharura, kitakachofanyika kwa siku moja, Alhamisi, Novemba, 2019.
Kikao hicho kitakachojadili agenda maalum ya Taarifa ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji wa Mwaka 2019, kitaketi chini ya Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe. Freeman Mbowe, kwa mujibu wa ibara ya 7.7.15 ya Katiba ya Chama ya Mwaka 2006, Toleo la Mwaka 2016.
Baada ya kikao, Kamati Kuu ya Chama itakutana na Wabunge wote wa Chadema.
Imetolewa leo Jumatano, Novemba 6, 2019 na;
Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
Chadema.
Ukabila ni ukipofu!!!Kosa walilofanya CHADEMA mwaka 2015 litazidi kuwatafuna!
A quick fix for long standing political problem only works for short term. A ripple effect of quick fix is eating CHADEMA dearly!
Haya yanayotokea kwa sasa niliwahi kuandika kwenye hii thread;
GONGA LINK>>>Wapinzani wasiposhikamana na kundi la ''walalahoi'' mwisho wao waja!
Mkuu;Ukab
Ukabila ni ukipofu!!!
Nyerere akifufuka Leo aone CCM ilipolifikisha taifa atalia sana
[/QUOT
Nyerere ndo aliiunda hii ccm ya sasa na alitaka iwe hivi
enzi zake hali ilikuwa mbaya zaidi
Nyerere akifufuka Leo aone CCM ilipolifikisha taifa atalia sana
[/QUOT
Nyerere ndo aliiunda hii ccm ya sasa na alitaka iwe hivi
enzi zake hali ilikuwa mbaya zaidi
NYANI ALOMZAA Steti ajenti naye atakuwepo😁😁😂😂Kitakuwa kama kikao cha manyani kukuna kujadili walime waache kuiba lakini soon wataiba tena maana kulima hawajazoea
State agent
Sent using Jamii Forums mobile app
Kamati Kuu ya Chadema itakutana wa dharura kesho Alhamisi Novemba 7, 2019 kutoa msimamo kuhusu mchakato wa uchaguzi wa Serikali za mitaa.
======
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA.
Taarifa inatolewa kwa vyombo vya habari na umma wa Watanzania kuwa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) itakutana katika kikao maalum cha dharura, kitakachofanyika kwa siku moja, Alhamisi, Novemba, 2019.
Kikao hicho kitakachojadili agenda maalum ya Taarifa ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji wa Mwaka 2019, kitaketi chini ya Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe. Freeman Mbowe, kwa mujibu wa ibara ya 7.7.15 ya Katiba ya Chama ya Mwaka 2006, Toleo la Mwaka 2016.
Baada ya kikao, Kamati Kuu ya Chama itakutana na Wabunge wote wa Chadema.
Imetolewa leo Jumatano, Novemba 6, 2019 na;
Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
Chadema.
kwani bado chadema ipo?Kamati Kuu ya Chadema itakutana wa dharura kesho Alhamisi Novemba 7, 2019 kutoa msimamo kuhusu mchakato wa uchaguzi wa Serikali za mitaa.
======
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA.
Taarifa inatolewa kwa vyombo vya habari na umma wa Watanzania kuwa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) itakutana katika kikao maalum cha dharura, kitakachofanyika kwa siku moja, Alhamisi, Novemba, 2019.
Kikao hicho kitakachojadili agenda maalum ya Taarifa ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji wa Mwaka 2019, kitaketi chini ya Mwenyekiti wa Chama Taifa, Mhe. Freeman Mbowe, kwa mujibu wa ibara ya 7.7.15 ya Katiba ya Chama ya Mwaka 2006, Toleo la Mwaka 2016.
Baada ya kikao, Kamati Kuu ya Chama itakutana na Wabunge wote wa Chadema.
Imetolewa leo Jumatano, Novemba 6, 2019 na;
Tumaini Makene
Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano
Chadema.
Wewe ni punguani tunakupuuza mwanzo mwisho.Kitakuwa kama kikao cha manyani kukuna kujadili walime waache kuiba lakini soon wataiba tena maana kulima hawajazoea
State agent
Sent using Jamii Forums mobile app
Wasukuma mnajiona wajaaaanja!Matamko ya CHADEMA kwani yanaanza leo?
KweliUchaguzi ususiwe hii ni moja 2 musitegemee kupata hata kiti kimoja
Kwani uongoWasukuma mnajiona wajaaaanja!
Hamna ujanja wowoteKwani uongo