Kamati Kuu CHADEMA kukutana kwa dharura kesho

Mkuu, hebu acha mambo ya u-muchknow. Ulichokiandika kinahusiana vipi na taarifa ya kikao iliyotolewa? Kama unataka kuandika haya uliyoyaandika, anzisha uzi wako. Maneno mengi, hakuna hoja!
 
Pamoja na ugonjwa wako wa ukabila unaokusakama nakuhakikishia kwamba Magufuli hakushinda uchaguzi wa 2015 , alibebwa na Kikwete ambaye mpaka leo anatafunwa na dhambi ile , na ukileta ujinga tutakuwekea hapa ushahidi kamili wa wizi , muulize Kapilimba , January , Kinana na Lubuva , acha fyoko fyoko utaumbuka vibaya sana !
 
Acha upuuzi Mkuu
Hakuna Mwenye akili timamu asiyejua kuwa Jiwe ndio kaidhoofisha CDM Kwa kutumia Mamlaka yake vibaya
Ila siku itakuja
 
Acha upuuzi Mkuu
Hakuna Mwenye akili timamu asiyejua kuwa Jiwe ndio kaidhoofisha CDM Kwa kutumia Mamlaka yake vibaya
Ila siku itakuja
Mkuu wala hata hajaidhoofisha , ndio maana anaogopa uchaguzi , Hakuna mahali popote katika dunia hii ambapo Shetani aliwahi kumshinda Mungu .

Mungu ibariki Rwangwa
 
Wewe ni sawa na debe tupu, huna loote unalojua wewe, unayoongea ni imaginary na fake thoughts, tatizo hamkubali kushindwa ndo tatizo lenu kubwa nyie wa UFIPA
 
Hili lichama limeshajifia siku nyingi kibudu

Mjitoe hivyo hivyo mpaka 2040 ndio mrudi
 
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ametangaza chama hicho kutoshiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kwa madai wakishiriki wanahalalisha ubatili.
 
Wamewaagiza wagombea wao kwenye chaguzi ndogo wajaze vibaya form za kugombea kwa makusudi ili wakatwe kwa wingi nchi nzima kisha wasingizie kwamba ni hujuma haiwezekani nchi nzima wakosee kujaza form

Kisha wahamasishe vuguru nchi nzima, hawaamini macho yao mpaka saivi hakuna mtanzania mwenye time nao wala hakuna mtu anaeliongolea hilo kabisa

Matokeo yake wamekuja kujitoa Hahaha mmechelewa sana, mtaisoma number
 
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ametangaza chama hicho kutoshiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kwa madai wakishiriki wanahalalisha ubatili.
Tupeni taarifa inayoeleweka basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…