Ikulu tu vingefanyika nyumbani kwa Mwenyekiti Makunduchi ndio vizuri..mimi ni mwana-ccm nimeunga mkono legacy. vikao vya kamati kuu vifanyike ikulu. kama una tatizo na hilo kunywa sumu ufe.
Ikulu? Pale sio makao wala ofisi za chama. Ni za serikali! Mashamba tu ndo hufanyia hapo kama yule firauni mwendazake..kwanini kikao cha Kamati Kuu hakifanyiki IKULU?
KAMATI KUU WANANCHI TUNATAKA KATIBA MPYA NI AIBU CCM KUOGOPA KATIBA MPYAKwa nini ukumbi uitwe white house Ikulu ya marekani na huku kuna majina mengi ya wapigania Uhuru kama Isike,Abushiri,Bwana Kheri,Kinjekitile ngwale au wapigania Uhuru wa Afrika akina Mondlane,Obote,Kaunda,Netto nk ,ccm ni mabepari waliojificha ,au hata Mazengo hall inatosha