GE2025 Kamati Kuu ya CCM mnavochelewa, ndio tunapanga kukifuta chama chenu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

MlimaSayuni

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
7,285
Reaction score
13,703
Watu na Washauri wa Samia nini msichoelewa na kuona


Your browser is not able to display this video.

Jeshi limesema sasa kwa njia za Kiraia, haliko tayari kufanya kazi na Samia.

Msione Aibu, Rais hana nguvu bila kuungwa mkono na Jeshi, simple and clear.
 
Vipi yale uliyokuwa unayabeza juu ya maandamano na kupewa ahadi hewa ni captain Tesha ukalinayo kichwani au sasa uko pamoja na waandamanaji
Maandamano yamenishangaza. Na yamewashangaza wengi.

Mambo ya Kapteni Tesha yalishaisha hayo.

Labda kama atarudi tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…