rudi kwenye mada...CCM haicheki na kina NCHIMBI haicheki na kina polepole haicheki na kina Kangoye haicheki na Dr urimboka Steven haicheki na kina Azory GWANDA haicheki na kina Mdude haicheki na kina SAA8 IPO SIKU YENU HAIKO MBALI MWISHO WENU HAUTAKUA MWEMA TANZANIA NI YA WATANZANIA HII SIO MALI YA WANA CCM .
Iwaogope washenzi kama nyie kwa sababu ipi kwa mfano?Adhabu ya msaliti ndani ya chama chochote ni kushighulikiwa kwa mijibu wa katiba ya chama hiko.
Leo tunapomsikia makamu mwenyekiti wa Chadema akilalamika kuwa kuna wasaliti ndani ya chama chake na kuchukua hatua ya kuhairisha mkutano wa baraza kuu forever inaakisi uwoga na kukosa machineries za kushughulikia waovu dhidi ya chama hiki.
kama sio janjajanja watajeni hao wasaliti na muwashughulikie.
Igeni mfano wa CCM ambayo haicheki na wasaliti
Hili jizi na lipenda rushwa linaangaika sana kupost. Linatamani sana CHADEMA ipende wizi na rushwa kama CCMAdhabu ya msaliti ndani ya chama chochote ni kushighulikiwa kwa mijibu wa katiba ya chama hiko.