Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Mlifanyaje uchaguzi wa Mwenyekiti taifa bila kukamilisha chaguzi za kanda na maeneo mengine kama Njombe nk? Matapeli wakubwa nyie
Malalamiko yako yatafanyiwa kaziMlifanyaje uchaguzi wa Mwenyekiti taifa bila kukamilisha chaguzi za kanda na maeneo mengine kama Njombe nk? Matapeli wakubwa nyie
Katiba yenu mnaipeleka ndivyo sivyo
Kamati kuu inapoteza muda halafu dikteta uchwara anakuja na maamuzi yake ya mtu mmoja toka singida!