Pre GE2025 Kamati Kuu ya CHADEMA yakutana kufanya mkutano kwa siku 2. Itajadili hali ya usalama nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

mwanamwana

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
1,309
Reaction score
4,798
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inakutana leo Dar es salaam katika kikao chake cha kawaida cha siku mbili.

Pamoja na masuala mengine kikao hicho kitajadili na kupokea;
1. Taarifa ya hali ya usalama nchini.
2. Kufanya usaili na kuteua wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi katika Kanda tatu za Pwani, Kusini na Pemba.

CHADEMA.jpg
 
View attachment 3098221
Safi sana makamanda wetu tupo pamoja hadi hali ya usalama nchini irudi kuwa nzuri.
 
Kamwe chadema wasithubutu kusitisha maandamano.

Samia must go!
 
Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) inakutana leo Dar es salaam katika kikao chake cha kawaida cha siku mbili.

Pamoja na masuala mengine kikao hicho kitajadili na kupokea;
1. Taarifa ya hali ya usalama nchini.
2. Kufanya usaili na kuteua wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi katika Kanda tatu za Pwani, Kusini na Pemba.

View attachment 3098221
Mungu Ibariki CHADEMA
 
KAMATI KUU ikazie tamko la maandamano. Haiwezekani wateke, waue watu, halafu waje watutishe na kusema ole wake atakayelia. Kilio chetu kwa njia ya maandamano, kipo palepale.

Msimamo huu ukibadilishwa, watateka zaidi, wataua zaidi, wakijua kuwa baada ya hapo watawatisha watu wasiandamane, nao watafyata. SAFARI HII, HAPANA.
 
Back
Top Bottom