JFK wabongo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 3,887
- 3,197
Swali hilo hapo juu. Majibu yenu tunataka. Tena mtuambie Yanga itatokaje kwenye hali hiyo? Kama hamna majibu, kwa nini bado mko ofisini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chanzo ni bilioni 11 anazodai Mhindi. Namna ya kutoka hapo ni kumlipa tu, wachezaji na makocha watalipwa baadayeSwali hilo hapo juu. Majibu yenu tunataka. Tena mtuambie Yanga itatokaje kwenye hali hiyo? Kama hamna majibu, kwa nini bado mko ofisini?
Tatizo la Yanga na bei ya mbaazi kushuka ni sawa na pande mbili za shilingi mchawi ni mmoja tu...wala si uongozi[/QUOTE
Achana na Yanga.
[emoji134] [emoji134]Tatizo la Yanga na bei ya mbaazi kushuka ni sawa na pande mbili za shilingi mchawi ni mmoja tu...wala si uongozi
Umegonga penyewe mkuu. Hapa ndio tatizo linaanziaTatizo la Yanga na bei ya mbaazi kushuka ni sawa na pande mbili za shilingi mchawi ni mmoja tu...wala si uongozi
Swali hilo hapo juu. Majibu yenu tunataka. Tena mtuambie Yanga itatokaje kwenye hali hiyo? Kama hamna majibu, kwa nini bado mko ofisini?
Dah! Yanga timu yangu tangu utotoni. Nasikia uchungu sana kwa muhindi kama huyu hata kuzungumzia mpira.Yanga ni timu ya jalalani tu, pesa mpaka wafadhali....Yanga kama timu haina hela na haina tofauti na timu zingine za ligi yetu isipokuwa baba yao Azam tu.
Unajua wabongo tunatabia ya kuridhika na majibu mepesi. Hakuna anayehoji mapato na matumizi ya timu. Ndiyo maana hata uzi unaona watu wana shy away kuchangia maana hawana ujasiri wa kuhoji.Duuu! Watu wamekula buyu umeamua kuchangia mwenyewe uzi wako