PAULO WA MSALABA
Senior Member
- Apr 20, 2012
- 138
- 56
Anakataa posho kwenye FB ?
Wanaokula maisha ni wanasiasa wengine wasindikizaji.Imeandikwa mwenye nacho ataongezewa na yule alienacho kidogo asipo kiangalia vyema atanyanganywa hata kidogo alichokuwa nacho watanzani amkeni ni nani aliyewaroga? Kusoma hatujui hata picha kuitambua inatushinda? Weshalewa madaraka hawa hawatujui sisi wenye njaa na hii ndio dhambi ya ubaguzi ni mbaya kuliko sumu ya panya .
Hawa wanasiasa wetu bwana kwa kukimbilia kwenye mitandao ya kijamii...sasa kama ni msimamo wake, si asubiri kesho ndiyo aweke hiyo saini?
Imefika wakati siwachukii wanaofanya hivyo ila nawachukia sana walala hoi kama mimi wanaowaunga mkono hawa mafisadi ndiyo maana wanawapa kibri cha kufanya lolote na hawaogopi tena hata kunyimwa kura.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
We unalo hilo Jema?Binadamu hawana Jema.
hapo lema atampiga mtu kitofa
Safi kwa lipi?
Kweli, hata umpe nini hawezi kuridhikaBinadamu hawana Jema.
Hawa wanasiasa wetu bwana kwa kukimbilia kwenye mitandao ya kijamii...sasa kama ni msimamo wake, si asubiri kesho ndiyo aweke hiyo saini?
mhhhh kama hii ni kweli ina maana wajumbe wale 6 walioteuliwa na Mwenyekiti wa muda wameungana so hata mzee wetu Mbowe nawe unataka uongezewe na wale memba wako wa kamati wakina Kimiti na wengineo?Jaman mmeenda kuomba muongezewe posho au kwa ajili ya katiba?nakumbuka Warioba jibu alilolitoa ni kua kama mtu hawez ajitoe au aandike barua kwa Raisi,tuachane ujinga wa kuchezea hela za watanzania mana hiyo laki tano ni hela kubwa sana hata hiyo laki 3 nayo ni kubwa sana na msituone watanzania ni wasio na uelewa labda mmoja lakini sio wote.
Mnaboa na ujinga wa kuchezea hela za nchi
Anakataa posho kwenye FB ?