saidoo25
JF-Expert Member
- Jul 4, 2022
- 624
- 1,456
Siku moja baada ya Bunge kuazimia watumishi wa Wizara ya Nishati, Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Wizara ya Fedha na Mipango na TANESCO walioshiriki katika mchakato mzima wa uingiaji, utekelezaji na uvunjaji wa mkataba kati ya TANESCO na Symbion uliosababishia Serikali hasara ya Bilioni 350.
Leo jambo la kushangaza Kamati ya Bunge ya PAC iliyochunguza suala hilo la Symbion imeitwa na Wizara ya Nishati na kuwekwa sawa kwa kile kilichotajwa eti ni Semina ya elimu kuhusu uagizaji wa mafuta kwa pamoja kwa wajumbe wa kamati hiyo ya PAC.
Azimio hilo la Bunge limetolewa Novemba 5, 2022 kuhusu malipo yaliyofanywa na Serikali kwa Kampuni ya Symbion Power LLC kiasi cha Dola za Marekani Milioni 153.43 sawa na kiasi cha Bilioni 350 ambazo zingeweza kusaidia kutatua shida mbalimbali za wananchi.