Tetesi: Kamati ya Bunge yagawanyika suala la Mpina na Bashe

Shakari

Senior Member
Joined
Jul 6, 2022
Posts
188
Reaction score
570
KUINA Tetesi zinazoendelea kuwa Wajumbe wa Kamati ya Maadili waliopewa jukumu la kumshughulikia Mpina wameanza kugawanyika wengine wakidai Mpina hana kosa lolote na hajavunja Sheria wengine wanadai kwa kuwa Spika ndiyo amewapa hiyo kazi ni lazima waimalize.

Pia kuna tetesi kuwa baadhi ya wajumbe wametishia kujitoa kwenye kamati hiyo baada ya kubaini kuna shinikizo kubwa kutoka kwa Spika na baadhi ya Mawaziri la kutaka Mpina aadhibiwe hata kama ni kwa kuonewa ili asiendelee kuvuruga mipango inayoletwa bungeni hasa kuhusu mikataba na mikopo. Majina ya Wajumbe wa Kamati hiyo ya kumshughulikia Mpina ni hawa hapa.

Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge​


DPMember NameMp TypePartyPosition
Ally Juma MakoaConstituent MemberCCMMwenyekiti
Dr. Thea Medard NtaraSpecial SeatsCCMMakamu Mwenyekiti
Khadija Shaaban TayaSpecial SeatsCCMMjumbe
Francis Kumba NdulaneConstituent MemberCCMMjumbe
Prof. Patrick Alois NdakidemiConstituent MemberCCMMjumbe
Khalifa Mohammed IssaConstituent MemberACTMjumbe
Mwantatu Mbarak KhamisMember from House of RepresentativesCCMMjumbe
Maimuna Salum MtandaConstituent MemberCCMMjumbe
Janejelly Ntate JamesSpecial SeatsCCMMjumbe
Cecilia Daniel ParessoSpecial SeatsCHADEMAMjumbe

DPMember NameMp TypePartyPosition
Christopher Olonyokie Ole-SendekaConstituent MemberCCMMjumbe
Hawa Subira MwaifungaSpecial SeatsCHADEMAMjumbe
Deodatus Philip MwanyikaConstituent MemberCCMMjumbe
Eng. Isack Aloyce KamwelweConstituent MemberCCMMjumbe
Flatei Gregory MassayConstituent MemberCCMMjumbe
Haji Amour HajiConstituent MemberCCMMjumbe
Aloyce John KamambaConstituent MemberCCMMjumbe
Joseph Michael MkundiConstituent MemberCCMMjumbe
Amour Khamis MbaroukConstituent MemberCCMMjumbe
 
Ntarudi baadaye,ngoja mwendokasi isimame...
 
Tetesi bin Tetesi !
Sisi tuliosomea Cuba tunajua what’s gonna happen !
But let’s wait for another Tetesi 🤠
 
Tetesi, tetesi, tetesi..!

Mara Lema kuhamia ccm, ooh Msigwa kuondoka CHADEMA..blah blah.

Tetesi za Jf ni ujinga mtupu.
 
 
 
Hapo mzalendo ni Ole Sendeka.

Ila nimeshangaa kuona CDM kumbe Bado Ina wabunge bungeni cc Pareso.
 
Itakuwa bei yao haijafikiwa bado. Upande ule waongeze bei jambo limalizike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…