Tatizo letu binadamu ni pale tunapotunga sheria kumlenga mtu fulani, tunasahau kwamba mtu hadumu lakini utaratibu wa kisheria utadumu.
Hao wabunge si wanarudi kule walikotoka kumrundikia Rais madaraka yote? Tanzan ia kuna vyombo hivyo wanavyosema wakenya kwamba vitammonitor Rais kama anakiuka Katiba, ubavu huo nani atakuwa nao? Maana maeneo yote hayo Rais aaweka strategically walio karibu naye kuwamonior wakorofi wake. Jamani, kwani Israel na Uingereza zenye mawaziri wakuu wenye mamlaka sana wamekwama wapi?
Leka
Hii ishu ya katiba ya Kenya bado ni nyeti na ina utata ndani yake. Most of the
reports we are getting ni kutoka kwa hao wanakamati ambao msimamo
wao kwa kiwango kikubwa ni matakwa ya Rais Kibaki na pia ukitazama kwa
undani uanjua lia mlengwa ni Raila Odinga.
Ukiwa unafuatilia hii kitu utajua kwamba ni yule William Ruto aliyependekeza
haya matakwa ya kufutilia mbali kiti cha Waziri Mkuu huku akijua wazi
anampiga vita Raila Odinga. Katika mtazamo wao finyu na uliojaa ukabila
hawa mabwana wanacheza makidamakida na maisha ya zaidi ya wakenya
milioni 30 na wale walipoteza maisha yao baada ya kuibiwa kwa kura za 2012.
Kenya's problems desite what we are being told are primarily because of
an imperial President who does nothing but propagate the whims of his
ethnic folks. Tuliona Kenyatta alivyowatajirisha wakikuyu, kisha akaja Moi
ambaye alihakikisha Wakalenjin wanalipiza kisasi na akaiba na kuua watu
wote waliokua wapinzani. Kibaki naye kaja na mtindo huo huo na kumaintain
status quo.
In any country whatsover, its my belief that the citizens are biggger than
the nation or their leaders and the constitution is the only thing that can
guarantee the protection of their rights. Hapa tunaona jamaa wakisahau
hii ishu na wanachopendekeza na kudanganya ulimwengu ni kwamba
wabunge chini ya 30 wameamua matakwa ya wakenya. What hogwash.
Meanwhile soma vizuri vile gazeti la EA Standard linavyosema katika dondoo hili:
But despite relief sweeping across the country from the PSC cross-party deal that even President Kibaki and Prime Minister Raila Odinga could not get their key committee of Cabinet on review to hammer out, there are still two hurdles to be overcome.
- One depends on whether Kibaki's Party of National Unity and Raila's Orange Democratic Movement would agree on how CoE would incorporate PSC's deal into a final document for a referendum.
- Two, for the new law to be promulgated, it must be passed by Kenyans at the referendum. "We have gone through every chapter, we are on course to handing our report over to CoE tomorrow afternoon,'' said Abdikadir.
Ukweli ni kwamba ikiwa wananchi watapiga kura with thing as it is,
wataitupilia mbali lakini the main problem itakua what next? The last
time around they did this, walirudishiwa ile katiba ya zamani ya mkoloni
na nothing changed.
Naona kwamba hali itakua ile ile na Kibaki ataendelea kutawala na
kuendeleza sera za ukabila na kiimla. Sitoshangaa kumuona Uhuru
Kenyatta akichukua Urais hapo 2012 au in a worser case of
circumstances mwanae Kibaki kwa jina Jimmy akipewa uongozi
wa nchi.
Mungu ibariki Kenya na poleni sana wapendwa.
Nawasilisha.