Kamati ya kuandika katiba ya Shirikisho la Afrika Mashariki yaundwa, jaji mkuu mstaafu wa Uganda achaguliwa mwenyekiti

Kamati ya kuandika katiba ya Shirikisho la Afrika Mashariki yaundwa, jaji mkuu mstaafu wa Uganda achaguliwa mwenyekiti

Unaunga mkono nchi za Afrika Mashariki kuungana na kuunda nchi moja?

  • Ndio

  • Hapana

  • Sijui


Results are only viewable after voting.

Cicero

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2016
Posts
2,924
Reaction score
3,074
  • Kila nchi mwanachama imetoa wataalam wawili
  • Kamati itakaa na kutoa rasimu ya kwanza ya katiba ya "Jamhuri ya Shirikisho la Afrika Mashariki" baada ya miaka mitatu (2018-2021)
  • Itatembea kila nchi na kukusanya maoni ya wananchi
  • Kikubwa ni namna ya kugawana mamlaka kati ya serikali ya shirikisho na serikali za nchi wanachama na pia muundo wa serikali yenyewe ya Afrika Mashariki

Zaidi tazama :
 
Back
Top Bottom