Kamati itakaa na kutoa rasimu ya kwanza ya katiba ya "Jamhuri ya Shirikisho la Afrika Mashariki" baada ya miaka mitatu (2018-2021)
Itatembea kila nchi na kukusanya maoni ya wananchi
Kikubwa ni namna ya kugawana mamlaka kati ya serikali ya shirikisho na serikali za nchi wanachama na pia muundo wa serikali yenyewe ya Afrika Mashariki