kamati ya kuchambua barua za watumishi wanaohama mikoani huundwa na kina nani?

vamda

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
895
Reaction score
571
Ndugu wana JF. Napenda kufahamu muundo wa kamati ya kuchambua barua za watumishi wanaohama mikoani. Kamati hiyo huundwa na watu wangapi na wenye nyadhifa zipi serikalini? Nawasilisha.
 
Mi najua ni watu wa TAMISEMI ila vigezo vya kuwachagua ndo sivijui.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…