Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za mitaa (LAAC) tayari imefanya ziara yake mkoani Iringa kuanzia 16 march na kutamatika 18 march 2025 ikikagua miradi yenye hoja za kikaguzi katika Halmshauri tatu za mkoa wa iringa ikiwemo, Halamashauri ya Manispaa ya Iringa, Kilolo Dc na Mufindi.
Mara baada ya kumalisha ukaguzi huo ilitoa mapendekezo kwa Serikali ya Mkoa wa Iringa.
1.7.2025 atarufi kwao upareni kuchunga mbuziHuyu Mdee mwenyewe hastahili kunyooshea wengine vidole kwasababu ubunge wake una mazingira ya uhalifu