Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo, imetembelea na kukagua ujenzi wa jengo la chuo chaCBE

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
651
Reaction score
433
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo na Mifugo ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Deodatus Mwanyika (Mb), Machi 12, 2026 ikitembelea na kukagua ujenzi wa jengo jipya la ghorofa kumi katika Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) Kampasi ya Dar es Salaam litakalogharimu zaidi ya shilingi Bilioni 10 mpaka litakapokamilika. Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) ni miongoni mwa taasisi zinazosimamiwa na Wizara ya Viwanda na Biashara, Chuo hicho ni Miongoni mwa Vyuo 10 bora nchini.

 
Ni mipango Mbaya ya hivi vyuo, vinatakiwa vijengwe nje ya miji kwenye nafasi ya kutosha na kuendeleza sehemu zingine. Hapo CBE na jiji la DSM sehemu hizo zipo congested
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…