Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Mwenyekiti wa kamati hiyo ya kudumu ya bunge inayoshughulikia Elimu, Utamaduni na Michezo Bi. Husna Sekiboko ametoa kauli hiyo leo Septemba 10, 2024 Jijini Dar es Salaam, Wakati wa Ziara ya kamati hiyo, iliyolenga kukagua mradi wa shule ya awali na msingi ya Richard Mgana iliyopo Kinondoni.
Sekiboko amesema kumekuwa na Mjadala mkali watu wakihoji kwanini walimu wa "English medium" wamekuwa wakilipwa na Watanzania wakati gharama za Shule hizo zikiwa juu.