Kamati ya kuisaidia Taifa stars kufuzu Afcon?

Kamati ya kuisaidia Taifa stars kufuzu Afcon?

huko kwenu vipi

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2015
Posts
1,520
Reaction score
1,462
Habarini wanajamvi.....

Nimeona TFF wakitangaza kamati yenye wajumbe 14 ikiongozwa na DAB ya kariakoo(Dar Mpya) kama Mwenyekiti....
Unaunda kamati ili iweje? ifanye nini?

Taifa stars si imemwajiri kocha Emanuel Amunike kazi yake si ni kuipeleka Taifa mbele kimchezo???

Simba wamefuzu robo finally club bingwa Africa je kuna kamati yeyote iliyoundwa ili Simba kufuzu robot finally? Mbona wamefuzu?

Taifa stars kufuzu na kutokufuzu ni kazi ya Kocha TFF acheni kuishangaza dunia,

Mnaharibu mpira,

Nakumbuka waliwahi kuunda kamati kipindi cha Serengeti boys hatimaye tukaambulia hewa.....

Kamati za kazi gani?? Et saidia Taifa stars ishinde,ishinde kwa njia gan? Uchawi,hongo,etc....

TFF kuweni makini acheni siasa kwenye Mpira.....
 
Kwa upuuzi huu kwanini nisiishangilie UGANDA CRANES.......................Tumeufanya mpira kama vile kamati za kitchen part
 
Halafu eti M/K nI Makonda, Makonda wa kazi gani, atahamasisha nani? Kama ni Makonda wacha tufungwe
 
Back
Top Bottom