Kamati ya Maadili: Askofu Gwajima ni Jeuri

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191

Kamati ya Maadili imesema kitendo cha Mbunge wa Kawe Josephat Gwajima kukataa vitu alivyoandaliwa kama ujeuri.

Gwajima alikataa kutumia kiti na kipaza sauti, siku ya nyingine alikataa kukaa chini kama alivyoelekezwa.

Aidha amesemwa kutojibu maswali kadiri yalivyoulizwa bali aling'ang'ania kuwa kiongozi wa dini.
 
Kwa hili niko upande wa Gwajima ,

Kama mtumishi ni lazima awe mfano wa kuigwa kiimani na kondoo wake!

Serikali imeshindwa kutambua kwamba Kuna Gwajima wawili ndani ya mtu mmoja, Gwajima ambaye ni mbunge, na Gwajima ambaye ni pastor!

Mbona wakat wa mwenda hawakumbughudhi?

Wabunge na bunge Acheni unafiki
 
kumbe Gwaji boy ana kondoo
 
Yaani maadhimio mtu kumpeleka kwenye chama? Leo hii bunge linakiagiza chama?
Mnapocheza maagizo mtumie basi brain. Hapo ni kinyume chake yaani chama ndo kimechora script halafu kilisingizie bunge kuwa walituletea wao!!
 
Hayo mahojian waweke kwa uwazi tujuwe kama alikaa kutokujibu Au kamati Ndo ilikuwa inakwamisha wameshindwa kutimiza malengo yalikuwa yamepangwa
 
Kama ni kiongozi wa dini kwenye siasa alifuata nini? Lakini pia kamati iache kulalamika ichukue hatua stahiki

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
Binadamu tuna 'double standards' mno. Ninajiuliza hapa kama angekuwa mpinzani ingekuwaje. Halafu, hiyo kamati kutujuza haya inamaanisha nini? Kwamba Mchungaji ameshindikana hivyo wanamkabidhi kwetu, raia? Ninaomba Mchungaji aendelee na 'ukichaa' wake huohuo ili wajifunze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…