KAMATI YA MAANDALIZI YA SHEREHE ZA UBINGWA WA SIMBA

Anna pita

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2012
Posts
227
Reaction score
426
KAMATI YA MAANDALIZI YA SHEREHE ZA UBINGWA WA SSC

MC -Mwinyi Zahera
DJ-Masau Bwire
VINYWAJI-Azam
KUNI-Mbao fc
KUOSHA VYOMBO NA KUPIKA CHAKULA-Yanga
MUZIKI-Mtibwa na Mbeya city
ULINZI - Prisons na JKT Tanzania
MAPOKEZI YA WAGENI RASMI- Ruvu shooting na African Lyon
KUFANYA USAFI WA UKUMBI- Singida united
KUPAMBA UKUMBI-Ndanda na Alliance
KUGAWA CHAKULA -Biashara united
USAFIRI-Stand united
KUSOMA RISALA-Coastal Union

Tutazidi kuwataarifu zaidi๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Tena kamati ya kuosha vyombo wafanye haraka kuwahi na ikiwezekana walale eneo la tukio

Hivi Vyura mnakwama wapi? Je kuna mpya?
 
[emoji872][emoji872][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]
 
Mmmmh mwehuu kweliiii
 
Safi sana mkuu Vyura washirikishwe kikamilifu
 
kamati nzuri kabisa,,,aisee,,hao waosha vyombo wawahi kusomba maji ya kuoshea vyombo,,maji meengi wanayo pale bwawa la jangwani,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ