kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Nyie ndo mtafika wapi kwa timu yenu niliyoiona Leo, ndo mnajitapa kufika mbali kwa kikosi hiki nilichoona Leo,,labda muendelee kuwekeza zaidi kwenye paka weusi na makafara vinginevyo safari yenu haipo mbaliHii kamati ya mapokezi mna maneno mengi sana.Mliisema sana Simba msimu uliopita mara ooh covid imewabeba,mara ooh sisi tukishiriki tutawaonesha mpira unachezwaje...Mungu si Athuman,Simba amewabeba mkaingia klabu bingwa.
Mechi ya kwanza tu mmeliaibisha taifa.
Basi jiandaeni kwenye kazi yenu maana mtawapokea sana wageni mwaka huu
.Utopolo usajili mkubwa ni msukule labda[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kwani Ud Songo ilikuwaje? Au mlivuka preliminary stage, hebu tukumbusheniHii kamati ya mapokezi mna maneno mengi sana.Mliisema sana Simba msimu uliopita mara ooh covid imewabeba,mara ooh sisi tukishiriki tutawaonesha mpira unachezwaje...Mungu si Athuman,Simba amewabeba mkaingia klabu bingwa.
Mechi ya kwanza tu mmeliaibisha taifa.
Basi jiandaeni kwenye kazi yenu maana mtawapokea sana wageni mwaka huu
Kwani Ud Songo ilikuwaje? Au mlivuka preliminary stage, hebu tukumbusheni
Tunazumzia ya leo leo wewe kiaziKwani Ud Songo ilikuwaje? Au mlivuka preliminary stage, hebu tukumbusheni
Umebumausajili wa Senzo na Manara umeshindwa kulipa
Kiazi mamako na wewe Ni kiazi pia maana umetokana na kiaziTunazumzia ya leo leo wewe kiazi
Tayari umeshapata heat uko tayari kutafunwaKiazi mamako na wewe Ni kiazi pia maana umetokana na kiazi
Nyie ndo mtafika wapi kwa timu yenu niliyoiona Leo, ndo mnajitapa kufika mbali kwa kikosi hiki nilichoona Leo,,labda muendelee kuwekeza zaidi kwenye paka weusi na makafara vinginevyo safari yenu haipo mbali
Kimtokacho mtu ndicho anachoishi. Hivyo usifikiri uyafanyayo wewe kwamba na wengine wanayafanya, siyo kweli. Hiyo ya kuwa kwenye joto na kuwa tayari kufanywa Baki nayo wewe maana inaonyesha pasi Shaka kuwa u mzoefu.Tayari umeshapata heat uko tayari kutafunwa