Kwa kiasi kikubwa kamati hii inafanikiwa kwa sababu miongoni mwa wanachama wake,tulithibitishiwa na msemaji wao kuwa,wenye akili timamu ni wawili tu.
Inafanikiwa kwa kusaidiana na mabwana zao wanawapokea airport kutengeneza majungu dhidi ya waamuzi wa CAF.
Majungu kama hayo yalipikwa sana kwa waamuzi wa TFF na wakafanikiwa kuwatisha kiasi kwamba wanawabeba sana mwaka huu.Na kwa kuwadhihirishia hilo,mtawaona kwenye michuano ya kimataifa wanavyomenywa nje ndani kama kawaida yao.
Ni timu iliyojaa vigagula na inaishi kwa mbinu za kizamani sana. Timu ina mabazazi yanayoharibu vijana wa kiume wanaocheza timu yao.
Leo siwataji jina ila kwa vile mnajijua,natarajia niwaone hapa mkitukana matusi ili kudhihirisha kuwa ninyi ni wale mliosenwa hamna akili isipokuwa,watu wawili tu katika chama lenu