njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Ni katika muendelezo wa kukirimu wageni, ile kamati nguli ya mapokezi inajipanga kupokea VAR na wasimamizi wa VAR watakapowasili nchini kwa mechi kati ya mabingwa watarajiwa wa confederation cup mwaka huu SIMBA SC. na pirates
Hatua hiyo ni maandalizi ya kuwapokea orlando pirates au wanaume kama walivyoagizwa na KILABU chao kupitia kwa msemaji wao bwana msukule
Week hii bahasha za khaki kwa kamati ya mapokezi ni mara mbili , Mungu awape nini? pigeni kazi na msisahau kumshukuru Rais kwa opportunities mnazozipata maana baada ya pirates kuna waarabu watakuja kwa nusu fainali
***MSISAHAU KUWAAMBIA WASIMAMIZI WA VAR NA PIRATES KWAMBA VYUMBA VITAPULIZIWA SUMU NA MAREFA WASHANUNULIWA..TIMIZENI WAJIBU WENU TAFADHALI KILA MTU AFANYE KAZI YAKE KWA UFASAHA HIYO NDIYO KAZI YENU>>>>>>