Kamati ya maridhiano inawatangazia kongamano kubwa bwawani

Kamati ya maridhiano inawatangazia kongamano kubwa bwawani

Kakke

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2010
Posts
1,883
Reaction score
1,482
[h=1][/h]Written by Ahmed Omar Khamis // 29/06/2013 // Habari // 13 Comments



JAJI BOMANI – “Suala la Muungano ndilo suala kubwa kuliko yote katika mchakato wa Katiba mpya. Niliwahi kuto ushauri nao ni kwamba ifanyike kura ya maoni ya wananchi hasa Zanzibar kama wanautaka muungano au la na kama wanautaka uwe muungano wa mfumo gani ? Mpaka sasa maoni ambayo yanasikika ni maoni ya viongozi mara Zanzibar ijitoe kwenye muungano mara tuwe na muungano wa mkataba………Woga wa gharama za mfumo wa Serikali tatu hauna msingi.Inategemea Serikali hizo unazifanya vipi, ipo mifano mingi mno duniani ya miungano ya mfumo mbali mbali,”Shime wazanzibari wote wapenda mamlaka kamili ya nchi yao wajitokeze kwa wingi. Kongamano litafanyika leo Jumamosi tarehe 29/06/2013 saa 3:00 za asubuhi. Katika kongamano hilo amealikwa mwana mamlaka kamili kutoka Tanganyika aliyekuwa mwanasheria mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Meshimiwa Mark Bomani
 
Back
Top Bottom