Kamati ya masaa 72!

Kamati ya masaa 72!

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Naomba niwafahamu wajumbe,maana nimeona insta TFF wakilaumiwa sana na hasa rais wa TFF amelaumiwa zaidi,kwa maamuzi waliyotoa.

Pia naomba nijue,je wanatoa adhabu kwa matukio gani yanayotokea ndani ya pitch.Nimeona watu wakitaka Wawa apewe adhabu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wajumbe wasikupe shida. Kikubwa wote ni vikaragosi vya Msomali wa Mogadishu.
 
Wapuuzi tu hawa, kwenye mechi ambazo haziko live kuna matukio mengi yanatokea na hakuna hatua inachukuliwa.

Wakiona tu mechi iko live wanajazana na makoti yao yasiyo na rangi kwenda kutoa adhabu.
 
Back
Top Bottom