Naomba niwafahamu wajumbe,maana nimeona insta TFF wakilaumiwa sana na hasa rais wa TFF amelaumiwa zaidi,kwa maamuzi waliyotoa.
Pia naomba nijue,je wanatoa adhabu kwa matukio gani yanayotokea ndani ya pitch.Nimeona watu wakitaka Wawa apewe adhabu
Sent using
Jamii Forums mobile app